Table Of ContentDT
448.2
NO
W371
1991
CHAMAGIZAPINDUZES
S
S
STANFORD
LIBRARIES
P27-64
SIA WA MWALIMU
ERERE KWA CCM
na Idara ya Uenezi wa Siasa na Ushirikishaji Umma ya
HalmashauriKuu ya Taifa.
DT
448.2
NO
W371
1991
D
Z
U
D
C IN
H P
AMAMCAHA
STANFORD
LIBRARIES
}
P27-64
WASIA WA MWALIMU
NYERERE KWA CCM
Kimetolewa na Idara ya Uenezi wa Siasa na Ushirikishaji Umma ya
Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa.
Leist
WASIA WA MWALIMU
NYERERE KWA CCM
HOTUBAYAMWENYEKITIWACHAMACHAMAPINDUZI
MWALIMUJULIUS K. NYERERE
KWENYEMKUTANO MKUU MAALUM WA TAIFA
DAR ES SALAAM , AGOSTI 16, 1990
Ndugu Wajumbe wa Mkutano Mkuu,
Waheshimiwa Wageni wetu na Rafiki zetu,
Kidumy.Chamacha Mapinduzi!
Tumekusanyika katika Mkutano huu hasa kwa kazi moja ku
bwa! kumteuamwenzetu mmoja atakayesirnamishwanaChamaili
achaguliwakushikakitichaRaiswaJamhuriyaMuungano.Lakini
vilevilenafasihiiitatumiwakuwaombaWaju.nbekufanyamabadiliko
machachekatikaKatibayaChama,nakumchaguaMwenyekitimpya,
pamoja na kufanya uchaguzi mwingine wowote utakaotokana na
kitendo hicho.
KuhusumgombeakitichaRais,HalmashauriKuuyaTaifaitam
pendekezaALIHASSANMWINYIkwamarayapili.Hatukuwana
shakalolotejuuyauamuziwetuhuo. RaisMWINYIamewafanyia
watuwetunaTaifaletukazikubwasanakatikakipindichamatatizo
mengi kabisa. Matatizo hayo, hasa ya uchumi, bado hayajaisha;
mijadalayanamnayakupambananayobadoinaendelea,nalazima
iendelee;nahatuazakuyatatuanazoziendeleekuchukuliwa.Maana
wakatiwamatatizokutofanyalolotenakonikitendo,nakatikahali
kama yetu ni kitendo cha kujiangamiza!
Mabadiliko makubwa ya Katiba yanayopendekezwa kwa
Wajumbenikurudishwakwa“kofiambili” kulingananautaratibu
wetuwaawali,yaanikuunganishamajukumuyaChamanayaSerikali
katikangazi fulanizauongozi. Sababukubwazapendekezohiloni
kuimarishauongozikatikangazizinazohusika,nakupunguzaghara
ma zauendeshaji. Zote zitaelezwabaadaye.
Tatu, nimeelewana na wenzangu katika Kamati Kuu na
HalmashauriKuuyaTaifakwambasasawakatiwanguumefikawa
kuachakitichaMwenyekitiwaChamachaMapinduzi. Hiini ngazi
mojayauongoziambayotanguawalitulipendeleakuwaMwenyekiti
waChamachetu,naRaiswaJamhuriyaMuunganoawenimtuyule
yule.Sababukubwazilizotufanyatukubalikuyatengamajukumuhaya
kwa muda, zilitokana na hofu na mashaka ya kipindi cha mpito.
1
MabadilikoyauongozikutokaAwamuyaKwanzakwendaAwamu
yaPiliyamemalizikakwautulivumkubwasana.Hatunasababutena
yakuendeleakuyatengamadarakahaya.Sasanivizuriturejeekwenye
uamuziwetuwaawalinawamsingikwambaMwenyekitiwaChama
chaMapinduziawepiandiyeRaiswaJamhuriyaMuunganowa Tan
zania. Tunamshukuru sana mwenzetu, Ndugu Ali Hassan Mwinyi,
kwamba uongozi wakewabusara katika kipindi cha miakamitano
iliyopita, umetufikisha hapa. Ndugu Rais, Asante sana!
Chama kimoja na Vyama vingi.
Ndugu Wajumbe: Uchaguzi wa sasa wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano na Rais wa Zanzibar na Wajumbe wa Baraza la
Wawakilishi,naWabunge,utaendeshwakwakufuataKatibayetuya
sasayaChamakimoja.Hatukusudiikubadiliutaratibuhuukwasasa.
LakinimjadalajuuyautaratibuutakaoiongozaTanzania kati
kasikuzambeleumeanzananimatumainiyangukwambautaendelea.
Sheriahutungwakusimamiavitendo;nakatikanchiyetuhivisasani
kinyumechaSheriakuanzishachamakinginechasiasa.Wotehatuna
budituitiisheriahiimpakahapoitakapobadilika.Lakininchihiiin
ajitahidikuwanchiyakidemokrasiayaChamakimoja;nataratibu
zamtukutoamaonijuuyamabadilikoamayaSheriailiyopoauya
KatibawakatianafuataSheriazilizopolazimaziruhusiwekatikamfu
mo wo wote unaoitwa wa kidemokrasia. Kwa kweli sifa moja ya
demokrasiayakwelini kwambainawapawachachenafasiyakisher
iayakujaribukuwashawishiwengiwaoneuborawamaoniyao. Hii
ndiyonjiapekeeyakuletamawazomapyanatabiampyakatikajamii
kwaamaninautulivu.Nidemokrasiaganihiyoinayozuiawananchi
kuihojikatibayake,ausherianyingineyoyoteyanchi?Demokrasia
ikichukuasurayaudikiteta,udikitetawenyeweutakuwanasuragani?
Suala hili halimo katika Agenda ya Mkutano wetu; bado
hatujaelewavizuriuzitowamatokeoyamabadiliko,nabadomjada
la wenyewehaujafikiahatuayakutuwezeshakufanyauamuzisasa,
au hata kuwekatareheyauamuzi. Maoni yangubinafsini kwamba
sivizurijambokubwakamahililikaamuliwakwapupa.Nivizuritujipe
mudawakutoshakuelewamaanayauamuziwowotetutakaoufanya.
TukiamuakuendeleanaChamakimoja,basituwetumeelewasababu
2
zake,natukiamuakuanzishamfumowaVyamaVingi,basituwepia
tumeelewa sababu zake. Na kwa hiyo ni wajibu wetu kupima kwa
makinisanahojazinazotolewanapandezotembilizamjadala.Ndiyo
maananivizurimjadalaupatemudawakutosha,nauendeshwekwa
nakini.
Lakini baada ya kusema hayo ni lazima nisisitize yafuatayo:
kwanza, jambo kubwa kwa maendeleo ya nchiyetu ni kuendeleza
demokrasiyenyewe,nasiyomuundounaoiendesha.Napili,sualahili
litakapoletwaililiamuliwenaMkutanowaChama,hojazitakazoon
gozauamuzi huo lazimaziwenauhusiano nahalihalisi namahitaji
ya Tanzania ya wakati huo.
Tanzania ilianza uhuru wake ikiwanavyamavingi; lakini hai
kuwanademokrasia.KatikauchaguzimkuuwaTanganyikawa1960,
kablayauhuruwetuTANUilishindananavyamavingine.Katikaviti
71 vyakuchaguliwa, TANUilichukuaviti70nakupotezakiti kimo
ja. Kile tulichopoteza tulikuwa tumepingwa na mwanachama wa
TANU ambaye hakukubali mjumbe aliyeteuliwa rasmi na TANU
kugombea kiti hicho. Alijisimamisha mwenyewe, akapingana na
TANU,akatushinda! Katikajimbohilolauchaguzindipopekeyake
palipotokeauchaguziwakweli;lakinikatikamajimbomengineyote
70yaliyobakiamahapakuwanauchaguzikabisa – katikamajimbo
58 - amapalikuwa na uchaguzi wa bandia, - katikamajimbo 12
- kati ya Chama cha kweli, TANU, na Vyamajina tu.
KatikauchaguziwaRaiswaJamhuri yaTanganyikauliofanyi
ka Oktoba, 1962, mgombea wa TANU alipingwa na mgombea wa
Chamakingine.Lakinihuunaoulikuwaniuchaguziwakushindanisha
ChamachakwelinaChamachaupuuzikidogo.Chamachaupinzani
kilipatakura21, 276naTANUilipatakaribu kura 1,128,000. Vyama
vilivyokuwavikipingaTANUamavilikufaauvilianzakufavifovya
kawaida.
HalihiyondiyoiliyotufanyatuundeTumeyakutusaidiakupata
maoniyawananchiyakutuwezeshakuanzishamfumowademokra
siayaChamaKimoja. KatikauchaguziwaBungewa 1965 tulitumia
mfumo uliopendekezwa na Tume hiyo. Tuliamua kushindanisha
wanachamawawiliwaChamachaTANU, nakuwapanafasiwapiga
kurakumchaguammojawapo.Matokeoyakeyalikuwayademokra
siayakwelikweli.Kwamarayakwanzakabisakulikuwanauchaguzi
3
katika nchi nzima; na Wabunge wazamani, pamoja namawaziri,
waliweza kushindwa na wagombea wapya. Huo ndio utaratibu
tunaoendeleanaohadileo.HatukuanzishamfumowaChamaKimo
jailikuondoademokrasia,balitulianzishamfumowaChamaKimo
ja ili kuanzisha na kuendeleza demokrasia.
UchaguziwaZanzibarwamwaka 1963ulikuwawaVyamaVin.
gi. LakiniwakoloniWaingerezanaWatejawaowalifanyambinuili
Waafrika, ambao ndio wengi, wasishinde katika uchaguzi huo na
kuunda Serikali ya Zanzibar huru. Kwa hiyo Serikali ya Zanzibar
" huru” iliundwa na wapenzi wa Sultani. Utaratibu wo wote un
aowanyimawengi hakiyao nauwezi ukaitwademokrasia. Zanzibar
yaDecember, 1963,ilikuwainavyamavingi,lakinihaikuwademokra
sia.NaWaswahiliwamesema:Wengiwape,usipowapa,watanyakua
wenyewe. Tarehe 12, Januari, 1964, wengi, waliokuwawamenyim
wahakiyaokwambinuzakipumbavu, waowenyewewakajichuku
liahakiyao.SerikaliyaMapinduzihaikuwaSerikaliyakuchaguļiwa
kwakupigakura;lakiniilikuwaniSerikaliyawengiambayowaliipa
ta kwa kukubali kujitolea mhanga. VyamavilivyopingaMapinduzi
vilivunjwa, Chamakimoja kilichoyakubali mapinduzi kilijiungana
ASP.
Hiyo ndiyo historia fupi ya jinsi tulivyoanzisha mfumo wa
DemokrasiayaChamakimoja.Mpaka1977Tanzaniailikuwana Vya
maViwili,lakinimfumowaChamakimoja.MwakahuoCCM ikazali
wa na kuwa mrithi wa Vyama hivyo na mfumo huo.
NduguWajumbe, inawezekanakwambabadozikosababu nzi
tozaleozakuendeleakuwanamfumowaChamakimoja. Nivizuri
sababu hizo zikajadiliwa na zikaeleweka. Haitatosha kurudia hoja
zilezilezamwanzowauhaiwauhuruwetu. Kwamfano, wakatiule
sheriailikuwainaruhusuvyamavingi,lakinihatukuwanavyamavya
maana; sasa sheria hairuhusu kuanzishwa kwa Chama kingine cha
siasa.Lakinimimisiaminikuwasheriaikiruhusuvyamavinginevian
zishwe hatutaweza kupata Chama cho chote cha maana. Naamini
kuwasasauko uwezekanowakupataChamaauvyamaambavyoni
vizuriauangalauniafadhali-fadhalikidogo. Lakinipamojanahayo
tukiridhikakwambazikosababuzakutoshazakuendeleanamfumo
waChamakimojabasinatuendeleenaChamakimojabilayakuona
hayanabilayakumwombaradhimtuyeyote.Kipimo chakiatumpime
4